1876
Kutoka Wikipedia
Miaka: | 1873 1874 1875 - 1876 - 1877 1878 1879 |
[hariri] Matukio
[hariri] Waliozaliwa
- 23 Januari - Otto Diels (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1950)
- 2 Machi - Papa Pius XII
- 22 Aprili - Robert Barany (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1914)
- 29 Aprili - Zauditu, Malkia mtawala wa Uhabeshi
- 1 Julai – Susan Glaspell (mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1931)
- 3 Julai – Ralph Barton Perry (mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1936)
- 6 Septemba - John Macleod (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1923)
- 25 Desemba - Adolf Windaus (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1928)