John Macleod
Kutoka Wikipedia
John James Rickard Macleod (6 Septemba, 1876 – 16 Machi, 1935) alikuwa mwanafiziolojia kutoka nchi ya Uskoti. Hasa anajulikana kuwa mmoja wa wanasayansi waliogundua insulini. Mwaka wa 1923, pamoja na Frederick Banting alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.