30 Juni
Kutoka Wikipedia
Mei - Juni - Jul | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
[hariri] Matukio
- 1960 - Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inapata uhuru kutoka Ubelgiji.
[hariri] Waliozaliwa
- 1819 - William Wheeler, Kaimu Rais wa Marekani (1877-1881)
- 1926 - Paul Berg, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1980
[hariri] Waliofariki
- 1912 - Mutsuhito (Meiji), Mfalme Mkuu wa Japani
- 1919 - Lord Rayleigh (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1904)