Web Analytics Made Easy - Statcounter

See also ebooksgratis.com: no banners, no cookies, totally FREE.

CLASSICISTRANIERI HOME PAGE - YOUTUBE CHANNEL
Privacy Policy Cookie Policy Terms and Conditions
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo - Wikipedia

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

Kutoka Wikipedia

République Démocratique du Congo
Flag of Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Nembo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Bendera Nembo
Wito la taifa: Justice - Paix - Travail
(Kifaransa: "Haki - Amani - Kazi")
Wimbo wa taifa: Debout Congolais
Lokeshen ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Mji mkuu Kinshasa
4°24′ S 15°24′ E
Mji mkubwa kushinda
 miji mingine yote
Kinshasa
Lugha rasmi Kifaransa (Kilingala, Kikongo, Kiswahili, Kitshiluba ni lugha ya taifa)
Serikali
• Rais
Serikali ya mseto
Joseph Kabila
Uhuru
 - Tarehe
Kutoka Belgium
Juni 30, 1960
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
2,345,410 km² (12th)
3.3%
Idadi ya watu
 - 2006 kadiriwa
 - 1938 census
 - Msongamano wa watu
 
62,660,551 (20th)
10,217,408
24/km² (182nd)
Fedha Congolese franc (CDF)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
CET, EET (UTC+1 na +2)
- (UTC+1 na +2)
Intaneti TLD .cd
Kodi ya simu +243

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (au Kongo-Kinshasa) ni nchi kubwa ya tatu Afrika iliyoko Afrika ya Kati. Ni tofauti na nchi jirani ya Jamhuri ya Kongo. Kati ya 1971 na 1997 nchi iliitwa "Zaire".

Imepakana na Jamhuri ya Kongo, Jamhuri ya Afrika ya Kati, Sudan, Uganda, Rwanda, Burundi, Tanzania, Zambia na Cabinda. Ina sehemu ndogo iliyopakana na pwani na Bahari ya Atlantiki. Sehemu hii inatenganisha eneo la Cabinda kutoka maeneo mengine ya Jamhuri ya Angola.

Kwa orodha ya marais wa nchi tangu uhuru, angalia hapa.

[hariri] Historia

Nchi jinsi ilivyo ilianzishwa kama koloni ya Kongo ya Kibelgiji. Jina la Kongo lahusiana na mto Kongo unaovuka nchi yote na pia Ufalme wa Kongo uliopatikana katika sehemu za magharibi za Angola na Kongo ya leo.

Kati ya 27 Oktoba 1971 na 17 Mei 1997 nchi ilijulikana kwa jina la "Zaire".

Upande wa kusini, kuanzia karne ya 17, kulikuwa na ufalme ulioitwa Dola la Kazembe.

[hariri] Majimbo

Majimbo ya Kongo
Majimbo ya Kongo

Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo ina majimbo au mikoa kumi na moja. Katiba mpya ya mwaka 2005 ilipanga mgawanyo mpya katika mikoa 26 inayotakiwa kuundwa kufikia mwaka 2008.

Kwa sasa mikoa ni ifuatayo:

1.Bandundu

2.Bas-Congo

3.Équateur

4.Kasaï-Occidental

5.Kasaï-Oriental

6.Katanga

7.Kinshasa

8.Maniema

9.Nord-Kivu

10. Mashariki (Orientale)

11.Sud-Kivu


26 majimbo mapya yaliyopangwa
26 majimbo mapya yaliyopangwa
République démocratique du Congo
République démocratique du Congo
Mikoa mipya ya Kongo iliyopangwa kuweko kuanzia mwaka 2008
Jimbo Mji mkuu Lugha rasmi
1. Kinshasa Kinshasa kifaransa, kituba, lingala
2. Kongo ya Kati Matadi kituba
3. Kwango Kenge kituba
4. Kwilu Kikwit kituba
5. Mai-Ndombe Inongo lingala
6. Kasai Luebo kiluba
7. Lulua Kananga kiluba
8. Kasai ya mashariki Mbuji-Mayi kiluba
9. Lomami Kabinda kiluba
10. Sankuru Lodja kiluba
11. Maniema Kindu kiswahili
12. Kivu ya kusini Bukavu kiswahili
13. Kivu ya kaskazini Goma kiswahili
14. Ituri Bunia kiswahili
15. Wele ya juu Isiro lingala
16. Chopo Kisangani kiswahili
17. Wele ya chini Buta lingala
18. Ubangi ya kaskazini Gbadolite lingala
19. Mongala Lisala lingala
20. Ubangi ya kusini Gemena lingala
21. Ekwatori Mbandaka lingala
22. Chwapa Boende lingala
23. Tanganyika Kalemie kiswahili
24. Lomami ya juu Kamina kiluba
25. Lualaba Kolwezi kiswahili
26. Katanga ya juu Lubumbashi kiswahili

[hariri] Viungo vya nje

Image:WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.


Nchi za Afrika Bara la Afrika
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad |Cote d'Ivoire | Djibouti | Eritrea | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesoto | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Uhabeshi | Uswazi | Zambia | Zimbabwe
Maeneo ya kiafrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika
Ufaransa: Mayotte · Réunion | Hispania: Visiwa vya Kanari · Ceuta · Melilla | Ureno: Visiwa vya Madeira | Uingereza: · Kisiwa cha St. Helena · Kisiwa cha Diego Garcia


aa - ab - af - ak - als - am - an - ang - ar - arc - as - ast - av - ay - az - ba - bar - bat_smg - bcl - be - be_x_old - bg - bh - bi - bm - bn - bo - bpy - br - bs - bug - bxr - ca - cbk_zam - cdo - ce - ceb - ch - cho - chr - chy - co - cr - crh - cs - csb - cu - cv - cy - da - de - diq - dsb - dv - dz - ee - el - eml - en - eo - es - et - eu - ext - fa - ff - fi - fiu_vro - fj - fo - fr - frp - fur - fy - ga - gan - gd - gl - glk - gn - got - gu - gv - ha - hak - haw - he - hi - hif - ho - hr - hsb - ht - hu - hy - hz - ia - id - ie - ig - ii - ik - ilo - io - is - it - iu - ja - jbo - jv - ka - kaa - kab - kg - ki - kj - kk - kl - km - kn - ko - kr - ks - ksh - ku - kv - kw - ky - la - lad - lb - lbe - lg - li - lij - lmo - ln - lo - lt - lv - map_bms - mdf - mg - mh - mi - mk - ml - mn - mo - mr - mt - mus - my - myv - mzn - na - nah - nap - nds - nds_nl - ne - new - ng - nl - nn - no - nov - nrm - nv - ny - oc - om - or - os - pa - pag - pam - pap - pdc - pi - pih - pl - pms - ps - pt - qu - quality - rm - rmy - rn - ro - roa_rup - roa_tara - ru - rw - sa - sah - sc - scn - sco - sd - se - sg - sh - si - simple - sk - sl - sm - sn - so - sr - srn - ss - st - stq - su - sv - sw - szl - ta - te - tet - tg - th - ti - tk - tl - tlh - tn - to - tpi - tr - ts - tt - tum - tw - ty - udm - ug - uk - ur - uz - ve - vec - vi - vls - vo - wa - war - wo - wuu - xal - xh - yi - yo - za - zea - zh - zh_classical - zh_min_nan - zh_yue - zu -