Afrika ya Kati
Kutoka Wikipedia
Afrika ya Kati ni kanda la bara la Afrika iliyoko katikati ya bara. Katika hesabu ya UM nchi 9 zifuatazo huhesabiwa kuwa sehemu zake:
[hariri] Afrika ya Kati
Afrika ya Kati kwa maana ya mpangilio ya UM ni nchi kusini ya jangwa Sahara, mashariki ya Afrika ya Magharibi na upande wa magharibi wa Bonde Kuu la Ufa. Mto mkubwa wa kanda ni mto Kongo.
Mwisho wa ukoloni kati ya 1953-1963 palikuwa na Shirikisho la Afrika ya Kati la nchi za kisasa za Malawi, Zambia na Zimbabwe zinazohesabiwa siku hizi kuwa sehemu za Afrika ya Kusini au Afrika ya Magharibi.