2006
Kutoka Wikipedia
Miaka: | 2003 2004 2005 - 2006 - 2007 2008 2009 |
[hariri] Matukio
[hariri] Waliozaliwa
[hariri] Waliofariki
- 28 Februari - Owen Chamberlain (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1959)
- 7 Machi - Ali Farka Toure (mwanamuziki kutoka nchi ya Mali)
- 29 Machi - Moshi William (mwanamuziki Mtanzania)
- 19 Agosti - Joseph Hill, mwimbaji kutoka Jamaika
- 28 Agosti - Melvin Schwartz (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1988)
- 30 Agosti - Nagib Mahfuz (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1988)
- 31 Oktoba - Pieter Willem Botha, Waziri Mkuu na Rais wa Afrika Kusini
- 1 Novemba - William Styron (mwandishi Mmarekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer mwaka wa 1968)