31 Oktoba
Kutoka Wikipedia
Sep - Oktoba - Nov | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
[hariri] Matukio
- 1517 - Martin Luther alitolea "Hoja 95 dhidi ya madekezo" na kuanzisha Mageuzo ya Kanisa.
- 1919 - Nchi ya Iraq inapata uhuru kutoka Uturuki.
[hariri] Waliozaliwa
- 1705 - Papa Klementi XIV
- 1835 - Adolf von Baeyer (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1905)
- 1920 - Dedan Kimathi (kiongozi Mkenya wa Mau Mau)
- 1929 - Bud Spencer, mwigizaji filamu kutoka Italia
[hariri] Waliofariki
- 1986 - Robert Mulliken, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1966
- 2006 - Pieter Willem Botha, Waziri Mkuu na Rais wa Afrika Kusini