1919
Kutoka Wikipedia
Miaka: | 1916 1917 1918 - 1919 - 1920 1921 1922 |
[hariri] Matukio
- 28 Juni - - Mkataba wa Versailles kusainiwa - mwisho wa Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia kati ya Ujerumani na washindi
- 19 Agosti - Nchi ya Afghanistan inapata uhuru kutoka Uingereza.
- 31 Oktoba - Nchi ya Iraq inapata uhuru kutoka Uturuki.
[hariri] Waliozaliwa
- 20 Julai - Edmund Hillary, mpelelezi kutoka New Zealand
- 9 Desemba - William Lipscomb, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1976
[hariri] Waliofariki
- 6 Januari - Theodore Roosevelt (Rais wa Marekani, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1906)
- 30 Juni - Lord Rayleigh (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1904)
- 15 Julai - Hermann Emil Fischer (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1902)
- 11 Oktoba - Karl Gjellerup (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1917)
- 15 Novemba - Alfred Werner (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1913)