1916
Kutoka Wikipedia
Miaka: | 1913 1914 1915 - 1916 - 1917 1918 1919 |
[hariri] Matukio
[hariri] Waliozaliwa
- 7 Januari - Fernando Sancho, mwigizaji filamu kutoka Hispania
- 12 Januari - Pieter Willem Botha, Waziri Mkuu na Rais wa Afrika Kusini
- 26 Machi - Christian Anfinsen, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1972
- 11 Mei - Camilo Jose Cela (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1989)
- 8 Juni - Francis Crick, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1962
- 11 Julai - Aleksander Prokhorov (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1964)
- 6 Agosti – Richard Hofstadter (mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1956)
- 25 Agosti - Frederick Robbins (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1954)
- 15 Desemba - Maurice Wilkins, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1962
[hariri] Waliofariki
- 20 Februari - Klas Pontus Arnoldson (mwanasiasa Msweden, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1908)
- 16 Julai - Ilya Mechnikov (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1908)
- 23 Julai - William Ramsay (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1904)
- 4 Septemba - José Echegaray y Eizaguirre (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1904)
- 15 Novemba - Henryk Sienkiewicz (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1905)