1964
Kutoka Wikipedia
Miaka: | 1961 1962 1963 - 1964 - 1965 1966 1967 |
[hariri] Matukio
- 26 Aprili - Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
- 6 Julai - Nchi ya Malawi inapata uhuru kutoka Uingereza.
- 24 Oktoba - Nchi ya Zambia inapata uhuru kutoka Uingereza.
[hariri] Waliozaliwa
- 11 Juni - Jean Garcia, muigizaji wa tamthiliya
- 26 Julai - Sandra Bullock, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 3 Agosti - Lucky Dube, mwanamuziki wa Afrika Kusini
- 2 Septemba - Keanu Reeves, mwigizaji filamu kutoka Kanada
[hariri] Waliofariki
- 24 Aprili - Gerhard Domagk (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1939)
- 21 Mei - James Franck (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1925)
- 3 Juni - Frans Eemil Sillanpää (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1939)
- 7 Novemba - Hans von Euler-Chelpin (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1929)
- 17 Desemba - Victor Hess (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1936)