James Franck
Kutoka Wikipedia
James Franck (26 Agosti, 1882 – 21 Mei, 1964) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Ujerumani. Wakati wa enzi ya Wanazi alihamia Marekani. Hasa alifanya utafiti upande wa nadharia ya atomu. Mwaka wa 1925, pamoja na Gustav Hertz alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.