1882
Kutoka Wikipedia
Miaka: | 1879 1880 1881 - 1882 - 1883 1884 1885 |
[hariri] Matukio
[hariri] Waliozaliwa
- 21 Aprili - Percy Bridgman, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1946
- 20 Mei - Sigrid Undset (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1928)
- 17 Juni - Igor Stravinsky, mtunzi wa muziki kutoka Urusi
- 26 Agosti - James Franck (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1925)
- 11 Desemba - Max Born (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1954)
[hariri] Waliofariki
- 19 Aprili - Charles Darwin (mwanasayansi Mwingereza)