Max Born
Kutoka Wikipedia
Max Born (11 Desemba, 1882 – 5 Januari, 1970) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa alichunguza sifa za mawimbi na kuboresha nadharia ya kwanta. Mwaka wa 1954, pamoja na Walther Bothe alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.
Makala hiyo kuhusu "Max Born" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Max Born kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |