1881
Kutoka Wikipedia
Miaka: | 1878 1879 1880 - 1881 - 1882 1883 1884 |
[hariri] Matukio
- 29 Juni - Mohammed Ahmad ibn Abd Allah ajitangaza kuwa mahdi nchini Sudan na kuanzisha vita ya jihadi dhidi ya Misri na Uingereza.
[hariri] Waliozaliwa
- 31 Januari - Irving Langmuir (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1932)
- 17 Machi - Walter Hess, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1949
- 23 Machi - Roger Martin du Gard (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1937)
- 23 Machi - Hermann Staudinger (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1953)
- 25 Machi - Bela Bartok (mtungaji wa muziki Mhungaria)
- 27 Julai - Hans Fischer (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1930)
- 6 Agosti - Alexander Fleming (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1945)
- 22 Oktoba - Clinton Davisson (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1937)
- 24 Desemba - Juan Ramon Jimenez (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1956)
[hariri] Waliofariki
- 19 Septemba - James A. Garfield, Rais wa Marekani (1881)
- 26 Novemba - Johann Ludwig Krapf (mmisionari wa CMS, Afrika ya Mashariki)