Sudan
Kutoka Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: Al-Nasr Lana (Kiarabu: Ushindi ni Wetu) | |||||
Wimbo wa taifa: نحن جند للہ جند الوطن Nahnu Jund Allah Jund Al-watan ("Sisi ni Jeshi ya Mungu na Nchi yetu") | |||||
Mji mkuu | Khartoum |
||||
Mji mkubwa nchini | Omdurman | ||||
Lugha rasmi | Kiarabu | ||||
Serikali
Rais
|
Omar al-Bashir |
||||
Uhuru - Tarehe |
Kutoka Misri na Uingereza Januari 1, 1956 |
||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
2,505,813 km² (10th) 5% |
||||
Idadi ya watu - Julai 2006 kadirio - 1993 sensa - Msongamano wa watu |
36,992,490 (33rd) 24,940,683 14/km² (195) |
||||
Fedha | Dinar (SDD ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
MSK (UTC+3) not observed (UTC+3) |
||||
Intaneti TLD | .sd | ||||
Kodi ya simu | +249 |
Jamhuri ya Sudan, ama Sudan ni nchi kubwa zaidi Afrika kulingana na eneo. Nchi hii kijiografia, sehemu yake ni Afrika ya Kaskazini. Mji mkuu ni Khartoum. Imepakana na Misri kaskazini, Bahari ya Shamu kaskazini-mashariki, Eritrea na Ethiopia mashariki, Kenya na Uganda kusini-mashariki, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Jamhuri ya Afrika ya Kati kusini-magharibi, Chadi nayo magharibi, na Libya kaskazini-magharibi.
Yaliyomo |
[hariri] Maeneo ya Sudan
Sudan imegawa kwa Majimbo 26 ambazo zaitwa (wilayat), Majimbo haya yamegawa kwa Wilaya 133. Majimbo majimbo haya ni: Al Jazirah, Al Qadarif, Bahr al Jabal, Bluu Nile (El bahr el azraq), Mashariki Equatoria, Junqali, Kassala, Khartoum, Ziwa, Kaskazini Bahr al Ghazal, Kaskazini Darfur, Kaskazini Kurdufan, Kaskazini, Bahari ya Shamu, Mto Nile, Sennar, Kusini Darfur, Kusini Kurdufan, Umoja, Nile ya Kijuu, Warab, Bahr al Ghazal ya Kimagharibi, Magharibi Darfur, Magharibi Equatoria, Magharibi Kurdufan, na nile nyeupe (bahr el jebel.
Wilaya: Ona Wilaya za Sudan
[hariri] Madaraka, Kujigawa, na Vita
Sudan ya Kusini ni Eneo yenye madaraka kati ya Majimbo na Serikali ya taifa.
Darfur ni eneo yeneye majimbo matatu ambaye imethulumiwa na vita vya kisiasa, vita vya Darfur. Na pia kuna wanamgambo upande wa mashariki Umbele wa Mashariki.
[hariri] Jiografia
Sudan iko upande wa Afrika ya kaskazini, imepakana na bahari ya Shamu, kati ya Misri na Eritrea. Imetamalikiwa zaidi na mto wa Nile na mikono ya Nile. Kwa eneo ya mraba kilomita 2,505,810 ama (967,499 sq mi), ni nchi kubwa zaidi kwa bara Afrika na ya kumi kwa ukubwa Duniani. Ardhi yenyewe ni kiwara, lakini kuna milima upande wa mashariki na magharibi. Hali ya anga ni ya mwangaza kusini, na mikuranga kaskazini. Mvua yapatikana mwezi wa Aprili na Oktoba. Kudhoofika kwa mazingira hasa ni kwa sababu ya mmomonyoko wa udongo na utapakazi wa jangwa.
Ona pia: Orodha ya miji Sudan
[hariri] Uchumi
[hariri] Watu na Kabila
Template:Tako la Kifungu
Sudan’ sensa za mwaka wa 1993 , Umma uliesabika milioni 26. Hakuna sensa nyingine kafanywa kutoka mwaka huo kwa sababu ya Vita vya wenyewe kwa wenyewe. Umma hasa wakadiriwa na kitabu cha wadadisi wa marekani kuwa milioni 39 mwaka wa 2004. Umma wa miji kama Khartoum (na pia Khartoum, Omdurman, na Khartoum ya kaskazini) wa ongezeka zaidi, umma kwa miji hii ya kadiriwa miliono 6-7 na wengine wahamiaji milioni 2 ambao wamethulumiwa na vita vya kusini sudan , magharibi, mashariki na pia wengine kwasababu ya ukame.
Sudan ina aina mbili za utamaduni—Waafrika waliyo na Uarabu na Waafrika, Waafrika wasio Waarabu—na maelfu ya kabila na migao ya kabila, lugha tafauti tafauti kwa makundi au kabila, ambazo – migawanyiko hii uleta siasa za utengo na ubaguzi.
Majimbo ya Kaskazini hasa ndio kubwa nchini Sudan, na pia Miji mikubwa hiko kwa majimbo haya. Zaidi ya milioni 22 wanaoishi kwa majimbo haya na eneo hizi za kaskazini ni Waislamu-Waarabu na wanao ongea kiarabu lakini wengi pia huongea lugha za mama hasa kama Ki-nubi, Ki-beja, Ki-fur, Ki-nuban, Ki-ingessana, kwa kikundi hiki kunawale wavutia zaidi kama: Wa-Kababish kutoka kaskazini Kordofan, Watu hawa wanaolea ngamiaa; Ga’alin (الجعلين), Rubatab (الرباطاب), Manasir (المناصير) and Shaiqiyah (الشايقيّة) makabila ambao kikao chao ni karibu na mito ni kama; Baggara wa Kurdufan na Darfur; Wakiham Beja eneo ya bahari la sham na Wanubi wa kaskazini Nile, ambao wengine kahamishwa karibu na mto Atbara. Eneo ya Shokrya kwa Wa-butana, Wa-bataheen wame pakana na Wa-ga’alin na Wa-shorya, upande wa kusini-magharibi eneo ya Butana.in the south west of Butana. Pia kuna Wa-rufaa, Wa-halaween na kabila nyingi zingine eneo ya Gazeera na kwa ufuo wa Bluu Nile na eneo ya Dindir. Hata pia Wa-nubi kusini mwa Eneo yaKurdufan na Wa-fur upande wa magharibi..
[hariri] Watu wa Sudan
- Ja'alein
- Shigia
- Rubatab
- Shokrya
- Ababda
- Azande
- Baggara peoples
- Beja tribe
- Dinka tribe
- Fur people
- Mahas
- Manasir tribe
- Masalit
- Nuba peoples
- Nuer tribe
- Rashaida
- Zaghawa
(zaidi, eneo ambazo zime chapika)
- Acholi mashariki
- Ayuak mashariki ya kati
- Barit Mji wa Juba
- Didiga mashariki
- Kakua kusini-mashariki
- Latuga mashariki
- Madi mashariki
- Shililuk mashariki
- Toposa mashariki
- Nyingine zaidi
[hariri] Utamaduni
- Utamaduni wa Sudan ya kusini
- Muziki wa Sudan
- Orotha ya waandishi kutoka Sudan
- Uislamu Sudan
Dini kubwa zaidi ya wakristu ni Kanisa ya Katoliki ya Roma, kanisa ya Episcopali Kanisa ya Sudan, kanisa ya WaPresbiterian Sudan na Kanisa ya wamininu kubti ya Sudan.
[hariri] Elimu
Template:Tako la Kifungu Vyuo Vikuu vya Sudan:
- Akademia ya Sayansi ya Utabibu
- Chuo Kikuu cha Wanawake cha Ahfad
- Chuo cha Sayansi na Teknolojia cha Bayan
- Chuo cha Watu wa Compyuta
- Chuo Kikuu cha Omdurman Ahlia
- Chuo Kikuu cha Gezira
- Chuo kikuu cha Khartoum
- Senta ya Utafiti, Mycetoma
- Chuo Kikuu cha Sudan cha Sayannsi na Teknolojia
[hariri] Ona pia
- Miji Sudan
- Elimu Sudan
- Vita vya Darfur
- Ukoo wa Sudan
- Haki za Kibinadamu Sudan
- Janjaweed
- Kush
- Vijana wa Sudan Waliopotea (Docu-cinema)
- Mradi wa Bwawa ya Merowe
- Jeshi ya Sudan
- Eneo ya Nubia
- Waziri Mkuu wa Sudan
- Wahamiaji wa Sudan Nchini Misri
- Misheni ya Muungano wa Kimataifa Sudan
- Walii Mlezi: Josephine Bakhita
[hariri] Vifungu Kiwazowazo
- Chama cha Wana-Skauti Sudan
[hariri] Viungo via Nnje
Maarifa ya Kawaida
- [1]. (stm BBC habari za taratibu za - Sudan
- CIA World Factbook - Sudan-(kutoka kitabu cha wadadisi wa Marekani).
- Congressional Research Service (CRS) Reports regarding Sudan –(Kutoka taarifa za baraza ya Marekani)
- Open Directory Project - Sudan directory category-(kutoka mwelekezo wa Sudan)
- (Idara ya mambo ya kigeni ya marekani- Sudan ya husu maandiko zingatizi kuhusu, usomi wa nchi na habari kuu za nchi.
<!—Tafadhali usiweke maadishi au kifungu kuhusu biashara hapa, kwa mfano; vitabu vya Sudan --> <!—Ukiweka maadishi hayo, waweza KUFUNGIWA kuhariri Wikipedia! -->
Serikali
- (Serikali ya Sudan) makala rasmi
- (ar) Majlis Watani makala rasmio ya bunge .
Habari
- AllAfrica.com - Sudan Viungo via Habari.
- Forced Migration Review Sudan issue taratibu za kutua amani
- Guardian Unlimited - Special Report: Sudan
- Sudan News Agency (SUNA) and SunaSMS government sites
- Yahoo! News Full Coverage - Sudan news headline links
- Sudan Tribune France-based (in English)
Photos
(Sura mpay ya sudan)
Utalii
- {{{2}}} travel guide kutoka Wikisafiri
Nyingine
- Sudan.net portal
- Sudaneseonline.com portal
- Sudani.com Portal
- Slavery in Sudan
Nchi za Afrika | |
---|---|
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad |Cote d'Ivoire | Djibouti | Eritrea | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesoto | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Uhabeshi | Uswazi | Zambia | Zimbabwe | |
Maeneo ya kiafrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika | |
Ufaransa: Mayotte · Réunion | Hispania: Visiwa vya Kanari · Ceuta · Melilla | Ureno: Visiwa vya Madeira | Uingereza: · Kisiwa cha St. Helena · Kisiwa cha Diego Garcia |