Uswazi
Kutoka Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: Siyinqaba (Swati: Sisi ni boma) |
|||||
Wimbo wa taifa: Nkulunkulu Mnikati wetibusiso temaSwati | |||||
Mji mkuu | serikali: Mbabane mfalme na bunge: Lobamba |
||||
Mji mkubwa nchini | Mbabane | ||||
Lugha rasmi | Kiingereza, Kiswati | ||||
Serikali
Mfalme
|
Ufalme Mswati III |
||||
Uhuru kutoka Uingereza |
Septemba 6, 1968 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
17,363 km² (ya 153) 0.9 |
||||
Idadi ya watu - Julai 2006 kadirio - 2001 sensa - Msongamano wa watu |
1,032,000 [1] (ya 154) 1,173,900 65.4/km² (99th) |
||||
Fedha | Lilangeni (SZL ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC+ 2) (UTC) |
||||
Intaneti TLD | .sz | ||||
Kodi ya simu | +268 |
||||
1.) 1.) angalia: Makadirio ya idadi ya watu ni pamoja na vifo kutokana na UKIMWI. |
Uswazi ni nchi ndogo ya Afrika ya Kusini. Mji mkuu ni Mbabane. Imepakana na Afrika Kusini na Msumbiji.
Uswazi inatawaliwa tangu 1986 na mfalme Mswati III. Kwa muda mwingi wa uhuru wa nchi katiba ilikuwa imesimamishwa na wfalme aliyetawala peke yake.
Uswazi ni kati ya nchi duniani zinazoathiriwa zaidi na Ukimwi; umri wa wastani unafikia miaka 32.62 pekee kwa sababu ya vifo vingi. Mfalme anapingwa mara nyingi kwa sababu anatumia pesa nyingi kwa ajili ya matumizi yake binafsi ilhali wananchi ni maskini sana.
Makala hiyo kuhusu "Uswazi" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Uswazi kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |
Nchi za Afrika | |
---|---|
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad |Cote d'Ivoire | Djibouti | Eritrea | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesoto | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Uhabeshi | Uswazi | Zambia | Zimbabwe | |
Maeneo ya kiafrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika | |
Ufaransa: Mayotte · Réunion | Hispania: Visiwa vya Kanari · Ceuta · Melilla | Ureno: Visiwa vya Madeira | Uingereza: · Kisiwa cha St. Helena · Kisiwa cha Diego Garcia |