1937
Kutoka Wikipedia
Miaka: | 1934 1935 1936 - 1937 - 1938 1939 1940 |
[hariri] Matukio
[hariri] Waliozaliwa
- 2 Machi - Abdelaziz Bouteflika, Rais wa Algeria
- 5 Machi - Olusegun Obasanjo, Rais wa Nigeria 1976-79 na 1999-2007
- 1 Juni - Morgan Freeman, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
bila tarehe
- Edward Tingatinga, msanii kutoka Tanzania
[hariri] Waliofariki
- 7 Februari - Elihu Root (mwanasiasa Mmarekani na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1912)
- 16 Machi - Austen Chamberlain (mwanasiasa Mwingereza na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1925)
- 11 Julai - George Gershwin (mtungaji wa muziki Mmarekani)
- 20 Julai - Guglielmo Marconi (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1909)
- 19 Oktoba - Ernest Rutherford (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1908)
- 9 Desemba - Nils Dalen (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1912)
- 21 Desemba - Frank Kellogg (mwanasiasa Mmarekani na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1929)