1885
Kutoka Wikipedia
Miaka: | 1882 1883 1884 - 1885 - 1886 1887 1888 |
[hariri] Matukio
- Uhindi: Kuundwa kwa INC (Indian National Congress) kama chama cha kwanza cha kisasa cha kupigania uhuru wa Uhindi.
[hariri] Waliozaliwa
- 7 Februari - Sinclair Lewis (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1930)
- 1 Agosti - Georg von Hevesy (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1943)
- 10 Septemba – Carl Van Doren (mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1939)
- 7 Oktoba - Niels Bohr (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1922)
- 11 Oktoba - Francois Mauriac (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1952)
- 2 Desemba - George Minot (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1934)
[hariri] Waliofariki
- 13 Januari - Schuyler Colfax, Kaimu Rais wa Marekani (1869-1873)
- 22 Juni - Muhammad Ahmad ibn Abd Allah aliyeanzisha Dola la Mahdi katika mji wa Omdurman
- 23 Julai - Ulysses S. Grant, Rais wa Marekani (1869-1877)
- 25 Novemba - Thomas Hendricks, Kaimu Rais wa Marekani (1885)