1888
Kutoka Wikipedia
Miaka: | 1885 1886 1887 - 1888 - 1889 1890 1891 |
[hariri] Matukio
[hariri] Waliozaliwa
- 17 Februari - Otto Stern (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1943)
- 5 Julai - Herbert Spencer Gasser (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1944)
- 16 Julai - Frits Zernike (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1953)
- 17 Julai - Shmuel Yosef Agnon (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1966)
- 22 Julai - Selman Waksman (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1952)
- 16 Septemba - Frans Eemil Sillanpää (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1939)
- 26 Septemba - T. S. Eliot (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1948)
- 16 Oktoba - Eugene O'Neill (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1936)
- 7 Novemba - Chandrasekhara Raman (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1930)
[hariri] Waliofariki
- 31 Januari - John Bosco
- 29 Machi - Charles-Valentin Alkan, mtunzi wa muziki kutoka Ufaransa