1891
Kutoka Wikipedia
Miaka: | 1888 1889 1890 - 1891 - 1892 1893 1894 |
[hariri] Matukio
[hariri] Waliozaliwa
- 8 Januari - Walther Bothe (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1954)
- 23 Mei - Par Lagerkvist (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1951)
- 5 Julai - John Howard Northrop (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1946)
- 12 Oktoba - Edith Stein, mwanafalsafa kutoka Ujerumani
- 20 Oktoba - James Chadwick (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1935)
- 14 Novemba - Frederick Banting (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1923)
- 10 Desemba - Nelly Sachs (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1966)
[hariri] Waliofariki
- 4 Julai - Hannibal Hamlin, Kaimu Rais wa Marekani (1861-1865)