1890
Kutoka Wikipedia
Miaka: | 1887 1888 1889 - 1890 - 1891 1892 1893 |
[hariri] Matukio
- 1 Julai - Mkataba wa Helgoland-Zanzibar kati ya Ujerumani na Uingereza
[hariri] Waliozaliwa
- 10 Februari - Boris Pasternak (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1958)
- 12 Machi - Mfalme Idris I wa Libya
- 31 Machi - Lawrence Bragg (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1915)
- 20 Mei – Allan Nevins (mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1933)
- 13 Oktoba – Conrad Michael Richter, mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer mwaka wa 1951
- 14 Oktoba - Dwight D. Eisenhower, Rais wa Marekani (1953-1961)
- 20 Desemba - Jaroslav Heyrovsky (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1959)
- 21 Desemba - Hermann Muller (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1946)