12 Oktoba
Kutoka Wikipedia
Sep - Oktoba - Nov | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
[hariri] Matukio
- 1492 - Kristoforo Kolumbus anafika kwenye visiwa vya Karibi akiamini ya kwamba amefika Uhindini.
- 1968 - Nchi ya Guinea ya Ikweta inapata uhuru kutoka Hispania.
[hariri] Waliozaliwa
- 1865 - Arthur Harden (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1929)
- 1891 - Edith Stein, mwanafalsafa kutoka Ujerumani
- 1896 - Eugenio Montale (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1975)
[hariri] Waliofariki
- 638 - Papa Honorius I
- 642 - Papa Yohane IV
- 1576 - Kaisari Maximilian II wa Ujerumani
- 1924 - Anatole France (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1921)
- 1965 - Paul Hermann Müller (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1948)