1924
Kutoka Wikipedia
Miaka: | 1921 1922 1923 - 1924 - 1925 1926 1927 |
[hariri] Matukio
- 3 Machi - Uongonzi wa Khalifa umepinduliwa na Kemal Atatürk.
[hariri] Waliozaliwa
- 11 Januari - Roger Guillemin (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1977)
- 11 Mei - Antony Hewish (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1974)
- 22 Agosti - James Kirkwood (mwandishi Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1976)
- 2 Septemba - Daniel arap Moi, Rais wa pili wa Kenya
bila tarehe
- Girma Wolde-Giorgis, Rais wa Ethiopia
[hariri] Waliofariki
- 21 Januari - Vladimir Lenin, kiongozi wa Umoja wa Kisovyeti
- 3 Februari - Woodrow Wilson (Rais wa Marekani, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1919)
- 12 Oktoba - Anatole France (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1921)
- 29 Novemba - Giacomo Puccini, mtunzi wa opera kutoka Italia
- 29 Desemba - Carl Spitteler (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1919)