Giacomo Puccini
Kutoka Wikipedia
Giacomo Antonio Domenico Michele Secondo Maria Puccini (alizaliwa mjini Lucca, 23 Desemba 1858 - mjini Brussels, 29 Novemba 1924) alikuwa mtunzi maarufu wa opera kutoka nchini Italia. Yaaminika kwamba Puccini ni wa pili kwa umaarufu katika opera baada ya mtunzi mashuhuri wa awali Bw. Giuseppe Verdi. Alitunga opera 14, ambazo nyingi kati ya hizo zinatumika leo hii katika majumba ya opera.
[hariri] Viungo vya nje
- http://w3.rz-berlin.mpg.de/cmp/puccini.html
- http://www.operapaedia.org/Home.aspx
- Centro Studi di Giacomo Puccini
- Festival Puccini e la sua Lucca
- Encyclopaedia Britannica, Giacomo Puccini
- Puccini cylinder recordings, from the Cylinder Preservation and Digitization Project at the University of California, Santa Barbara Library.
- Free scores by Giacomo Puccini katika Werner Icking Music Archive (WIMA)
- Manon Lescaut MP3 Creative Commons Recording
- Puccini's music in movies
- Free MP3 Puccini's operas
- Shughuli au kuhusu Giacomo Puccini katika maktaba ya WorldCat catalog
- Giacomo Puccini ame orodheshwa katika International Music Score Library Project
Orodha ya Wanamuziki wa kipindi cha Romatiki | |
---|---|
Alkan Balakirev Beethoven Bellini Berlioz Berwald Bizet Borodin Brahms Bruckner Chopin Cui Dvořák Elgar Field Franck Glinka Grieg Liszt Mahler Mendelssohn Mussorgsky Rachmaninoff Rimsky-Korsakov Saint-Saëns Schubert Schumann Smetana Strauss Tchaikovsky Verdi Wagner Wolf Weber |