1858
Kutoka Wikipedia
Miaka: | 1855 1856 1857 - 1858 - 1859 1860 1861 |
[hariri] Matukio
[hariri] Waliozaliwa
- 23 Machi - Ludwig Quidde (mwanasiasa Mjerumani, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1927)
- 23 Aprili - Max Planck (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1918)
- 11 Agosti - Christiaan Eijkman (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1929)
- 4 Oktoba – Michael Pupin (mwanahistoria wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1924)
- 27 Oktoba - Theodore Roosevelt (Rais wa Marekani, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1906)
- 20 Novemba - Selma Lagerlof (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1909)
- 26 Novemba - Katharine Drexel, mtawa wa kike kutoka Marekani
- 23 Desemba - Giacomo Puccini, mtunzi wa opera kutoka Italia