1861
Kutoka Wikipedia
Miaka: | 1858 1859 1860 - 1861 - 1862 1863 1864 |
[hariri] Matukio
[hariri] Waliozaliwa
- 15 Februari - Charles Edouard Guillaume (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1920)
- 7 Mei - Rabindranath Tagore (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1913)
- 20 Juni - Frederick Hopkins (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1929)
- 10 Oktoba - Fridtjof Nansen (mpelelezi na mwanasiasa Mnorwei na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1922)