1864
Kutoka Wikipedia
Miaka: | 1861 1862 1863 - 1864 - 1865 1866 1867 |
[hariri] Matukio
- 22 Agosti - Nchi 12 zinakubali Mapatano ya Geneva zikihamasishwa na Henri Dunant, mwanzilishaji wa Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu.
[hariri] Waliozaliwa
- 13 Januari - Wilhelm Wien (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1911)
- 25 Juni - Walther Nernst (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1920)
- 20 Julai - Erik Axel Karlfeldt (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1931)
- 11 Novemba - Alfred Fried (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1911)
[hariri] Waliofariki
- 31 Desemba - George Mifflin Dallas, Kaimu Rais wa Marekani (1845-1849)