Henri Dunant
Kutoka Wikipedia
Henri Dunant (8 Mei, 1828 – 30 Oktoba, 1910) alikuwa mwandishi na mfadhili wa nchi ya Uswisi. Mwaka wa 1859 alianzisha Chama cha Kimataifa cha Msalaba Mwekundu. Pia alisababisha Mapatano ya Geneva. Mwaka wa 1901, pamoja na Frederic Passy, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel kwa Amani.