15 Februari
Kutoka Wikipedia
Jan - Februari - Mac | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | ||||||
Kalenda ya Gregori |
[hariri] Matukio
- 1775 - Uchaguzi wa Papa Pius VI
[hariri] Waliozaliwa
- 1368 - Kaisari Sigismund wa Ujerumani
- 1845 - Elihu Root (mwanasiasa Mmarekani na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1912)
- 1861 - Charles Edouard Guillaume (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1920)
- 1873 - Hans von Euler-Chelpin (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1929)
- 1915 - Robert Hofstadter (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1961)
[hariri] Waliofariki
- 1145 - Papa Lucius II
- 1637 - Kaisari Ferdinand II wa Ujerumani
- 1959 - Owen Richardson (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1928)
- 1988 - Richard Feynman (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1965)