Charles-Valentin Alkan
Kutoka Wikipedia
Charles-Valentin Alkan (30 Novemba 1813 - 29 Machi 1888) alikuwa mtunzi wa Opera na mpigaji kinananda maarufu kutoka nchini Ufaransa. Jina lake kamili lilikuwa Morhange. Alikuwa mpigaji kinanda mashuhuri na mwenye uwezo wa kupiga kinanda haraka zaidi na alitunga tungo nyingi za vinanda, ambazo nyingi zilikuwa vigumu kwa watu wengine kuweza kuzipiga.
[hariri] Viungo vya nje
- Alkan Society website, including complete and regularly updated discography
- "The Myths of Alkan" by Jack Gibbons
- The Strange case of Charles-Valentin Alkan
- Unriddling Alkan
- Bibliography and Discography
- Pictures of Alkan and his family (his father, his mother, his sister Celeste, his brother Napoléon, and his son Elie-Miriam Delaborde).
[hariri] Tunzi na nakala za muziki
- Free Alkan scores and manuscripts - site of Sylvain Chosson
- Free scores by Charles-Valentin Alkan katika Werner Icking Music Archive (WIMA)
- Kunst der Fuge website: many of the piano works in MIDI files
- www.kreusch-sheet-music.net - Free Scores by Alkan
- Alkan ame orodheshwa katika International Music Score Library Project
Orodha ya Wanamuziki wa kipindi cha Romatiki | |
---|---|
Alkan Balakirev Beethoven Bellini Berlioz Berwald Bizet Borodin Brahms Bruckner Chopin Cui Dvořák Elgar Field Franck Glinka Grieg Liszt Mahler Mendelssohn Mussorgsky Rachmaninoff Rimsky-Korsakov Saint-Saëns Schubert Schumann Smetana Strauss Tchaikovsky Verdi Wagner Wolf Weber |