11 Mei
Kutoka Wikipedia
Apr - Mei - Jun | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
[hariri] Matukio
[hariri] Waliozaliwa
- 1916 - Camilo Jose Cela (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1989)
- 1918 - Richard Feynman (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1965)
- 1924 - Antony Hewish (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1974)
[hariri] Waliofariki
- 1963 - Herbert Spencer Gasser (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1944)
- 1981 - Odd Hassel, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1969
- 1981 - Bob Marley, mwanamuziki kutoka Jamaika
- 1996 - Nnamdi Azikiwe, Rais wa kwanza wa Nigeria