3 Mei
Kutoka Wikipedia
Apr - Mei - Jun | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
[hariri] Matukio
[hariri] Waliozaliwa
- 1892 - George Thomson (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1937)
- 1902 - Alfred Kastler (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1966)
- 1913 - William Inge (mwandishi Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1954)
- 1933 - Steven Weinberg (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1979)
- 1960 - May Ayim, mwandishi Mwafrika kutoka Ujerumani
[hariri] Waliofariki
- 1481 - Mehmed II, Sultani wa Milki ya Osmani
- 1758 - Papa Benedikt XIV
- 1856 - Adolphe Adam (mtungaji wa muziki Mfaransa)