6 Oktoba
Kutoka Wikipedia
Sep - Oktoba - Nov | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
[hariri] Matukio
- 1689 - Uchaguzi wa Papa Alexander VIII
- 1889 - Kilele cha Kilimanjaro kimefikiwa mara ya kwanza.
[hariri] Waliozaliwa
- 1887 - Le Corbusier, msanifu majengo kutoka Ufaransa
- 1903 - Ernest Walton (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1951)
[hariri] Waliofariki
- 1912 - Auguste Beernaert (mwanasiasa Mbelgiji na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1909)
- 1951 - Otto Meyerhof (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1922)