Ubelgiji
Kutoka Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: Kiholanzi: Eendracht maakt macht; Kifaransa: L'union fait la force; Kijerumani: Einigkeit macht stark (Kiswahili: "Umoja ni nguvu") |
|||||
Wimbo wa taifa: "La Brabançonne" (Wimbo la Brabant) | |||||
Mji mkuu | Brussels |
||||
Mji mkubwa nchini | Brussels | ||||
Lugha rasmi | Kiholanzi, Kifaransa, Kijerumani | ||||
Serikali
Mfalme
Waziri Mkuu |
Ufalme wa kikatiba Albert II Guy Verhofstadt |
||||
Uhuru Mapinduzi ya Ubelgiji |
1830 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
30,528 km² (ya 140) 6.4 |
||||
Idadi ya watu - 2005 kadirio - 2001 sensa - Msongamano wa watu |
10,419,000 (ya 77) 10,296,350 342/km² (ya 29) |
||||
Fedha | Euro (EUR ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
CET (UTC+1) CEST (UTC+2) |
||||
Intaneti TLD | .be | ||||
Kodi ya simu | +32 |
Ubelgiji (België kwa Kiholanzi, Belgique kwa Kifaransa na Belgien kwa Kijerumani) ni nchi ya Ulaya ya Magharibi. Imepakana na Ufaransa, Uholanzi, Ujerumani na Luxemburg. Ina pwani na Bahari ya Kaskazini.
Mji mkuu ni Brussels.
Ubelgiji ina majimbo matatu:
- Flandria katika kaskazini penye Waflandria wanaotumia lugha ya Kiholanzi,
- Wallonia katika kusini penye Wawallonia wanaotumia Kifaransa na
- jimbo la mji mkuu wa Brussels penye lugha zote.
Katika Wallonia kuna pia wilaya ambakao wakazi wanatumia hasa lugha ya Kijerumani ambacho ni lugha ya tatu ya kitaifa.
Makala hiyo kuhusu "Ubelgiji" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Ubelgiji kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |