Otto Stern
Kutoka Wikipedia
Otto Stern (17 Februari, 1888 – 17 Agosti, 1969) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Ujerumani. Wakati wa utawala wa Adolf Hitler alihamia Marekani. Hasa alichunguza usumaku wa atomu. Mwaka wa 1943 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.