5 Agosti
Kutoka Wikipedia
Jul - Agosti - Sep | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
[hariri] Matukio
- 1960 - Nchi Burkina Faso (kwa jina la Volta ya Juu) inapata uhuru kutoka Ufaransa.
[hariri] Waliozaliwa
- 1758 - Go-Momozono, Mfalme Mkuu wa 118 wa Japani (1771-1779)
- 1936 - John Saxon, mwigizaji filamu kutoka Marekani
[hariri] Waliofariki
- 1957 - Heinrich Otto Wieland (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1927)
- 1962 - Marilyn Monroe, mwigizaji filamu kutoka Marekani