Subrahmanyan Chandrasekhar
Kutoka Wikipedia
Subrahmanyan Chandrasekhar (19 Oktoba, 1910 – 21 Agosti, 1995) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Amezaliwa nchini Pakistan. Anajulikana hasa kwa utafiti wake wa mifanyiko tendani ya kifizikia ya nyota. Mwaka wa 1983, pamoja na William Fowler alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.