John Lennon
Kutoka Wikipedia
John Lennon (9 Oktoba, 1940 – 8 Desemba, 1980) alikuwa mmojawapo wa wanamuziki wanne wa bendi moja hodari iliyoitwa "The Beatles". Yeye alikuwa Mwingereza. Mke wake alikuwa Yoko Ono. Lennon aliuawa kwa kupigwa risasi mlangoni mwa nyumbani kwake jijini New York akiwa na umri wa miaka 40 tu.
[hariri] Viungo vya Nje
- http://bmifoundation.org/images/PhotoLennon_1.jpg Picha ya John Lennon