Brian Josephson
Kutoka Wikipedia
Brian David Josephson (amezaliwa 4 Januari, 1940) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza nadharia ya upitishaji umeme. Mwaka wa 1973, pamoja na Leo Esaki na Ivar Giaever alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.