Christian de Duve
Kutoka Wikipedia
Christian de Duve (amezaliwa 2 Oktoba, 1917) alikuwa mwanabiolojia kutoka nchi ya Ubeligiji. Hasa alichunguza sehemu za chembe hai. Mwaka wa 1974, pamoja na Albert Claude na George Palade alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.