1991
Kutoka Wikipedia
Miaka: | 1988 1989 1990 - 1991 - 1992 1993 1994 |
[hariri] Matukio
- 21 Machi - Nchi ya Namibia inapata uhuru kutoka Afrika Kusini.
- 30 Agosti - Nchi ya Azerbaijan inatangaza uhuru wake kutoka Umoja wa Kisovyeti.
- 21 Septemba - Nchi ya Armenia inapata uhuru rasmi kutoka Umoja wa Kisovyeti.
- 8 Desemba - Mwisho wa Umoja wa Kisovyeti, kuundwa kwa Jumuiya ya nchi huria
[hariri] Waliozaliwa
[hariri] Waliofariki
- 11 Januari - Carl David Anderson (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1936)
- 30 Januari - John Bardeen (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia miaka ya 1956 na 1972)
- 6 Februari - Salvador Luria, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1969
- 12 Machi - Ragnar Granit, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1967
- 26 Aprili – Alfred Bertram Guthrie, mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer mwaka wa 1950
- 24 Julai - Isaac Bashevis Singer (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1978)
- 7 Septemba - Edwin McMillan (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1951)
- 24 Septemba - Theodor Seuss Geisel (anajulikana hasa kama Dr. Seuss, mwandishi Mmarekani kwa watoto)
- 25 Septemba - Klaus Barbie, mwanajeshi wa SS ya Adolf Hitler
- 23 Novemba - Klaus Kinski, mwigizaji filamu kutoka Ujerumani
- 28 Desemba - Cassandra Harris, mwigizaji filamu kutoka Australia