Ragnar Granit
Kutoka Wikipedia
Ragnar Arthur Granit (30 Oktoba, 1900 – 12 Machi, 1991) alikuwa mwanafiziolojia kutoka nchi ya Uswidi. Amezaliwa nchini Ufini lakini. Hasa alichunguza mabadiliko ya umeme ndani ya jicho. Mwaka wa 1967, pamoja na George Wald na Haldan Hartline alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.