Carl David Anderson
Kutoka Wikipedia
Carl David Anderson (3 Septemba, 1905 – 11 Januari, 1991) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza sehemu za atomu. Mwaka wa 1936, pamoja na Victor Hess alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.