Ufalme wa Muungano wa Britania na Eire ya Kaskazini
Kutoka Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: "Dieu et mon droit"(Kifaransa) "Mungu na haki yangu" |
|||||
Wimbo wa taifa: "God Save the Queen" | |||||
![]() |
|||||
Mji mkuu | London |
||||
Mji mkubwa nchini | London | ||||
Lugha rasmi | Kiingereza | ||||
Serikali | Jamhuri ya Kibunge na Ufalme wa kikatiba Elizabeth II wa Uingereza Gordon Brown |
||||
kutokea kwa ufalme tangu 1066 Muungano 1707 Muungano 1800 Mkataba wa Uingereza na Eire |
1 Mei 1707 1 Januari 1801 12 Aprili 1922 |
||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
{{{area}}} km² (ya 79) 1.34 |
||||
Idadi ya watu - mid-2006 kadirio - 2001 sensa - Msongamano wa watu |
60,587,300[1] (ya 22) 58,789,194[1] {{{population_density}}}/km² (48th) |
||||
Fedha | Pound sterling (£) (GBP ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
GMT (UTC+0) BST (UTC+1) |
||||
Intaneti TLD | .uk Template:Ref | ||||
Kodi ya simu | +44 |
Ufalme wa Muungano wa Britania na Eire ya Kaskazini (Kiing.: United Kingdom of Great Britain and Northern Ireland); kifupi "Ufalme wa Muungano" Kiing.: United Kingdom) ni nchi ya Ulaya ya kaskazini-magharibi. Mara nyingi huitwa kwa Kiswahili "Uingereza" tu ingawa nchi ya Uingereza ni moja pekee kati ya sehemu za ufalme huu pamoja na Uskoti, Welisi na Eire ya Kaskazini.
[hariri] Muungano na utawala
Bendera | Nchi | Hali | Wakazi | Vitengo | Miji |
---|---|---|---|---|---|
Uingereza | Ufalme | 50,431,700 |
Mikoa |
Miji ya Uingereza | |
Uskoti | Ufalme | 5,094,800 |
Wilaya |
Miji ya Uskoti | |
Welisi | Utemi | 2,958,600 |
Wilaya |
Miji ya Welisi | |
Eire ya Kaskazini | Jimbo | 1,724,400 |
Wilaya |
Miji ya Eire ya Kaskazini |