Israel
Kutoka Wikipedia
Kwa maana mbalimbali ya jina Israeli katika Biblia tazama Israeli (maana)
|
|||||
Wito la taifa: - | |||||
Wimbo wa taifa: Hatikvah ("Tumaini") | |||||
Mji mkuu | Yerusalemu1 |
||||
Mji mkubwa nchini | Yerusalemu | ||||
Lugha rasmi | Kiebrania, Kiarabu | ||||
Serikali | Jamhuri, serikali ya kibunge Moshe Katsav Ehud Olmert Dalia Itzik |
||||
Uhuru Tangazo la uhuru |
14 May 1948 (05 Iyar 5708) |
||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
20,770 km² (ya 151) ~2 |
||||
Idadi ya watu - Desemba 2006 kadirio - 1995 sensa - Msongamano wa watu |
7,100,0002 (ya 98) 5,548,523 324/km² (ya 34) |
||||
Fedha | Shekel (₪) (ILS ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
IST (UTC+2) (UTC+3) |
||||
Intaneti TLD | .il | ||||
Kodi ya simu | +972 |
||||
1 Haitambuliwa kama mji mkuu na nchi nyingi duniani. 2 pmopja na raia wa Iaraeli kwenye maeneo ya Palestina, Yerusalemu ya Mashariki na Golan. |
Israel (Kiebrania: מדינת ישראל - Medinat Yisra'el; Kar.: دَوْلَةْ إِسْرَائِيل - dawlat Isrā'īl) ni nchi ya Mashariki ya Kati kwenye mwambao wa mashariki wa Mediteranea. Imepakana na Lebanon, Syria, Yordani, Misri na maeneo chini ya mamlaka ya serikali ya Palestina.
Nchi ya kisasa ilianzishwa 14 Mei 1948 lakini kuna historia ndefu. Mji mkuu umekuwa Yerusalemu tangu 1950 lakini nchi nyingi hazikubali hivyo kwa sababu hali ya sheria ya kimataifa juu ya Yerusalemu haieleweki.
Takriban 80% za wakazi ni Wayahudi na 20 % ni Waarabu ambao ni Waislamu na Wakristo.
Lugha rasmi ni Kiebrania na Kiarabu.
[hariri] Viungo vya nje
Makala hiyo kuhusu "Israel" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Israel kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |
Nchi na maeneo ya Asia |
Afghanistan | Armenia2 | Azerbaijan | Bahrain | Bangladesh | Bhutan | Brunei | China | Cyprus2 | Falme za Kiarabu | Georgia2 | Hong Kong3 | Indonesia | Iran | Iraq | Israel | Japan | Kambodia | Kazakhstan | Korea Kaskazini | Korea Kusini | Kuwait | Kirgizstan | Laos | Lebanon | Macau3 | Malaysia | Maldivi | Mongolia | Myanmar | Nepal | Oman | Pakistan | Palestina | Qatar | Urusi1 | Saudia | Singapore | Sri Lanka | Syria | Taiwan (Jamhuri ya China) | Tajikistan | Timor ya Mashariki | Ufilipino | Uthai | Uturuki1 | Turkmenistan | Uhindi | Uzbekistan | Vietnam | Yemen | Yordani |
1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi hii iko Asia lakini kwa sababu za kihistoria au kiutamaduni inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya. 3. Eneo la pekee la China. |