Sri Lanka
Kutoka Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: | |||||
Wimbo wa taifa: Sri Lanka Matha (Sri Lanka Mama) | |||||
Mji mkuu | Sri Jayawardenapura |
||||
Mji mkubwa nchini | Colombo | ||||
Lugha rasmi | Kisinhala, Kitamil | ||||
Serikali | Jamhuri Mahinda Rajapaksa Ratnasiri Wickremanayake |
||||
Uhuru kutoka Uingereza |
ilikubaliwa 4 Februari 1948 |
||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
65,610 km² (ya 122) 4.4 |
||||
Idadi ya watu - 2005 kadirio - 2001 sensa - Msongamano wa watu |
20,743,000 (ya 52) 18,732,255 316/km² (ya 35) |
||||
Fedha | Rupia ya Sri Lanka (LKR ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC+5:30) (UTC) |
||||
Intaneti TLD | .lk | ||||
Kodi ya simu | +94 |
Sri Lanka (hadi 1972: Ceylon) ni nchi ya kisiwani katika Asia ya Kusini. Iko karibu na ncha ya kusiniy a rasi ya Uhindi katika Bahari Hindi. Idadi ya wakazi ni takriban milioni 20. Mji mkuu ni Sri Jayawardenapura
Wakazi walio wengi (74 %) ni Wasinhala amabo ni hasa wafuasi wa Ubuddha. Takriban 20 % ni Watamili ambao ni hasa Wahindu. Wanaishi hasa katika kaskazini ya kisiwa. Kuna vikundi vidogo vya Wakristo na Waislamu vilevile.
[hariri] Mikoa
Sri Lanka ina mikoa 9:
- Sri Lanka Kati
- Sri Lanka Kaskazini Kati
- Sri Lanka Kaskazini
- Sri Lanka Mashariki
- Sri Lanka Kaskazini Magharibi
- Sabaragamuwa
- Sri Lanka Kusini
- Uva
- Sri Lanka Magharibi
Nchi na maeneo ya Asia |
Afghanistan | Armenia2 | Azerbaijan | Bahrain | Bangladesh | Bhutan | Brunei | China | Cyprus2 | Falme za Kiarabu | Georgia2 | Hong Kong3 | Indonesia | Iran | Iraq | Israel | Japan | Kambodia | Kazakhstan | Korea Kaskazini | Korea Kusini | Kuwait | Kirgizstan | Laos | Lebanon | Macau3 | Malaysia | Maldivi | Mongolia | Myanmar | Nepal | Oman | Pakistan | Palestina | Qatar | Urusi1 | Saudia | Singapore | Sri Lanka | Syria | Taiwan (Jamhuri ya China) | Tajikistan | Timor ya Mashariki | Ufilipino | Uthai | Uturuki1 | Turkmenistan | Uhindi | Uzbekistan | Vietnam | Yemen | Yordani |
1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi hii iko Asia lakini kwa sababu za kihistoria au kiutamaduni inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya. 3. Eneo la pekee la China. |