>


Web - Amazon

We provide Linux to the World


We support WINRAR [What is this] - [Download .exe file(s) for Windows]

CLASSICISTRANIERI HOME PAGE - YOUTUBE CHANNEL
SITEMAP
Audiobooks by Valerio Di Stefano: Single Download - Complete Download [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Alphabetical Download  [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Download Instructions

Make a donation: IBAN: IT36M0708677020000000008016 - BIC/SWIFT:  ICRAITRRU60 - VALERIO DI STEFANO or
Privacy Policy Cookie Policy Terms and Conditions
Vietnam - Wikipedia

Vietnam

Kutoka Wikipedia

Cộng hòa Xã hội Chủ nghĩa Việt Nam
Jamhuri ya Kijamaa ya Vietnam
Flag of Vietnam Nembo ya Vietnam
Bendera Nembo
Wito la taifa: Độc lập – Tự do – Hạnh phúc
(Uhuru, Huria, Heri)
Wimbo wa taifa: Tiến Quân Ca
Lokeshen ya Vietnam
Mji mkuu Hanoi
21°2′ N 105°51′ E
Mji mkubwa nchini Mji wa Ho Chi Minh (Saigon)
Lugha rasmi Kivietnam
Serikali
Katibu Mkuu
Rais
Waziri Mkuu
Jamhuri, chama kimoja 1
Nông Đức Mạnh
Nguyễn Minh Triết
Nguyễn Tấn Dũng
Uhuru
Kutoka China
(mapigano ya Bach Dang)
Kutoka Ufaransa
Ilitambuliwa

938

2 Septemba 1945
1954
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
331,689 km² (ya 65)
1.3
Idadi ya watu
 - Julai 2005 kadirio
 - 1999 sensa
 - Msongamano wa watu
 
85,238,000 (ya 13)
76,323,173
253/km² (ya 46)
Fedha Dong ya Vietnam (₫) (VND)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
(UTC+7)
(UTC+7)
Intaneti TLD .vn
Kodi ya simu +84

Vietnam (Việt Nam) ni nchi ya Asia ya Kusini-Magharibi. Imepakana na China, Laos na Kambodia. Mji mkuu ni Hanoi lakini mji mkubwa ni Mji wa Ho Chi Minh (zamani: Saigon). Kwa jumla kuna wakazi milioni 86.5 million. Kati ya 1940 na 1975 Vietnam ilikuwa na kipindi kirefu cha vita ikaonekana kama nchi maskini sana. Tangu miaka ya 1980 uchumi umesogea mbele sasa ni kati ya nchi kwenye njia ya maendeleo zenye uchumi imara sana unaokua haraka.

Yaliyomo

[hariri] Jiografia

Umbo la nchi ni kama kanda ndefu kando la mwambao wa Bahari ya Kusini ya China. Umbali kati ya kaskazini na kusini ni 1,650 km. Upana wa nchi kati ya mipaka ya mashariki na magharibi hutofautiana: katika kaskazini ni 600 km lakini kwenye shingo nyembamba la Vietnam ya kati ni kilomita 50 tu. Pwani lina urefu wa 3,000 km.

Kidaka cha Halong katika Vietnam Kaskazini
Kidaka cha Halong katika Vietnam Kaskazini

Umbo la kijiografia limewahi kulinganishwa na "fimbo linalobeba bakuli mbili": kazkazini na kusini kuna delta mbili ya mto Mekong na Mto Mwekundu zenye rutba; katikati nchi nyembamba ya milima na misitu.

Kuna maeneo makubwa matano:

  • Nyanda za juu za Yunnan katika kaskazini mpakani na China penye makabila mbalimbali wasio Wavietnam kilugha na kiutamaduni.
  • Delta ya Mto Mwekundu ambayo ni tambarare lenye rutba katika mazingira ya mji mkuu Hanoi. Mpungwa hulimwa kwa wingi.
  • Nyanda za juu za Annam ni eneo la milima pasipo na msongamano wa watu ambao ni tena makabila mbalimbali.
  • Pwani la Annam ni kanda nyembamba la tambarare ya pwani lenye msogamano mkali wa watu
  • Delta ya Mekong ni tambarare ya kusini lenye rutba na kilimo cha mpunga. Mji wa Mji wa Ho Chi Minh (zamani: Saigon) uko hapa.


[hariri] Historia

[hariri] Milki jirani ya China

Vietnam ilitawaliwa kwa karne kadhaa kutoka China. Athira ya China ya kiutamaduni ilibaki muhimu hata katika za Uhuru. Katika karne ya 18 nchi iliunganishwa chini ya makaisari wa Hue.

[hariri] Koloni ya Ufaransa

Athira ya Ufaransa ilikua na kati ya 1858 hadi 1883 utawala wa nchi ilichukuliwa na Ufaransa. Kusini ya nchi ilikuwa koloni ya Ufaransa kwa jina la Cochinchina. Annan (eneo la Vietnam Kati) na Tongking (kaskazini) ilikuwa nchi lindwa chini ya utawala wa kaisari wa Hue lakini hali halisi mamlaka yalikuwa mkononi mwa Ufaransa.

Hekalu ya kibuddha
Hekalu ya kibuddha

[hariri] Vita ya ukombozi

Wakati wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia Vietnam ilitwaliwa na Japani iliyoacha maafisa Wafaransa wa serikali ya Víchy ofisini lakini kushika utawala wa juu. Kundi la Viet Minh walioongozwa na mkomunisti Ho Chi Minh waliwapinga kwa njia ya vita ya msituni. Mwaka 1945 Japani ilijaribu kutumia Wavietnam upande wake ukaondoa Wafaransa madarakani na kumtangaza Kaisari Bao Dai wa Hue mwtawala wa Vietnam huru. Lakini baada ya miezi michache vita ikaisha na Ho Chi Minh alitangaza Jamhuru ya Kidemokrasia ya Vietnam mjini Hanoi. Wafaransa wa serikali ya Paris walijaribu kujenga uhusiano naye lakini baada ya kurudi walilenga kuchukua utawala upya. Vita ya uhuru ilifuata hadi 1954 Ufaransa ukashindwa.

[hariri] Kipindi cha Vietnam mbili

Vietnam iligawiwa katika Vietnam Kaskazini na Vietnam Kusini. Jeshi na watawala wa kikoloni wa Ufaransa waliondoka kabisa. Wavietnam wengi wa kaskazini hasa Wakristo walioogopa serikali ya kikomunisti walikimbia kusini. Lakini uchaguzi huru uliokubaliwa huko Geneva haukutekelezwa kwa sababu serikali za kidikteta za kusini zilikataa. Vita ya wenyewe kwa wenyewe ilianzishwa na wakomunisti wa kaskazini waliosaidiwa na China na Umoja wa Kisovyeti dhidi ya serikali ya kusini iliyopata msaada wa Marekani.

[hariri] Kaskazini kuteka Kusini na kuunganisha taifa

Katika vita ya Vietnam majeshi ya Marekani na Vietnam Kusini yalishindwa. Tarehe 30 Aprili jeshi la Vietnam Kaskazini ilitwaa mji wa Saigon 30, 1975. Nchi yote iliunganishwa kama Jamhuri ya Kijamaa ya Vietnam tarehe 2 Julai 1976.


Nchi na maeneo ya Asia

Afghanistan | Armenia2 | Azerbaijan | Bahrain | Bangladesh | Bhutan | Brunei | China | Cyprus2 | Falme za Kiarabu | Georgia2 | Hong Kong3 | Indonesia | Iran | Iraq | Israel | Japan | Kambodia | Kazakhstan | Korea Kaskazini | Korea Kusini | Kuwait | Kirgizstan | Laos | Lebanon | Macau3 | Malaysia | Maldivi | Mongolia | Myanmar | Nepal | Oman | Pakistan | Palestina | Qatar | Urusi1 | Saudia | Singapore | Sri Lanka | Syria | Taiwan (Jamhuri ya China) | Tajikistan | Timor ya Mashariki | Ufilipino | Uthai | Uturuki1 | Turkmenistan | Uhindi | Uzbekistan | Vietnam | Yemen | Yordani

1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi hii iko Asia lakini kwa sababu za kihistoria au kiutamaduni inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya. 3. Eneo la pekee la China.
Image:WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Vietnam" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Vietnam kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.

Lugha nyingine

< Static Wikipedia 2008 (no images)

aa - ab - af - ak - als - am - an - ang - ar - arc - as - ast - av - ay - az - ba - bar - bat_smg - bcl - be - be_x_old - bg - bh - bi - bm - bn - bo - bpy - br - bs - bug - bxr - ca - cbk_zam - cdo - ce - ceb - ch - cho - chr - chy - co - cr - crh - cs - csb - cu - cv - cy - da - de - diq - dsb - dv - dz - ee - el - eml - en - eo - es - et - eu - ext - fa - ff - fi - fiu_vro - fj - fo - fr - frp - fur - fy - ga - gan - gd - gl - glk - gn - got - gu - gv - ha - hak - haw - he - hi - hif - ho - hr - hsb - ht - hu - hy - hz - ia - id - ie - ig - ii - ik - ilo - io - is - it - iu - ja - jbo - jv - ka - kaa - kab - kg - ki - kj - kk - kl - km - kn - ko - kr - ks - ksh - ku - kv - kw - ky - la - lad - lb - lbe - lg - li - lij - lmo - ln - lo - lt - lv - map_bms - mdf - mg - mh - mi - mk - ml - mn - mo - mr - mt - mus - my - myv - mzn - na - nah - nap - nds - nds_nl - ne - new - ng - nl - nn - no - nov - nrm - nv - ny - oc - om - or - os - pa - pag - pam - pap - pdc - pi - pih - pl - pms - ps - pt - qu - quality - rm - rmy - rn - ro - roa_rup - roa_tara - ru - rw - sa - sah - sc - scn - sco - sd - se - sg - sh - si - simple - sk - sl - sm - sn - so - sr - srn - ss - st - stq - su - sv - sw - szl - ta - te - tet - tg - th - ti - tk - tl - tlh - tn - to - tpi - tr - ts - tt - tum - tw - ty - udm - ug - uk - ur - uz - ve - vec - vi - vls - vo - wa - war - wo - wuu - xal - xh - yi - yo - za - zea - zh - zh_classical - zh_min_nan - zh_yue - zu -

Static Wikipedia 2007 (no images)

aa - ab - af - ak - als - am - an - ang - ar - arc - as - ast - av - ay - az - ba - bar - bat_smg - bcl - be - be_x_old - bg - bh - bi - bm - bn - bo - bpy - br - bs - bug - bxr - ca - cbk_zam - cdo - ce - ceb - ch - cho - chr - chy - co - cr - crh - cs - csb - cu - cv - cy - da - de - diq - dsb - dv - dz - ee - el - eml - en - eo - es - et - eu - ext - fa - ff - fi - fiu_vro - fj - fo - fr - frp - fur - fy - ga - gan - gd - gl - glk - gn - got - gu - gv - ha - hak - haw - he - hi - hif - ho - hr - hsb - ht - hu - hy - hz - ia - id - ie - ig - ii - ik - ilo - io - is - it - iu - ja - jbo - jv - ka - kaa - kab - kg - ki - kj - kk - kl - km - kn - ko - kr - ks - ksh - ku - kv - kw - ky - la - lad - lb - lbe - lg - li - lij - lmo - ln - lo - lt - lv - map_bms - mdf - mg - mh - mi - mk - ml - mn - mo - mr - mt - mus - my - myv - mzn - na - nah - nap - nds - nds_nl - ne - new - ng - nl - nn - no - nov - nrm - nv - ny - oc - om - or - os - pa - pag - pam - pap - pdc - pi - pih - pl - pms - ps - pt - qu - quality - rm - rmy - rn - ro - roa_rup - roa_tara - ru - rw - sa - sah - sc - scn - sco - sd - se - sg - sh - si - simple - sk - sl - sm - sn - so - sr - srn - ss - st - stq - su - sv - sw - szl - ta - te - tet - tg - th - ti - tk - tl - tlh - tn - to - tpi - tr - ts - tt - tum - tw - ty - udm - ug - uk - ur - uz - ve - vec - vi - vls - vo - wa - war - wo - wuu - xal - xh - yi - yo - za - zea - zh - zh_classical - zh_min_nan - zh_yue - zu -

Static Wikipedia 2006 (no images)

aa - ab - af - ak - als - am - an - ang - ar - arc - as - ast - av - ay - az - ba - bar - bat_smg - bcl - be - be_x_old - bg - bh - bi - bm - bn - bo - bpy - br - bs - bug - bxr - ca - cbk_zam - cdo - ce - ceb - ch - cho - chr - chy - co - cr - crh - cs - csb - cu - cv - cy - da - de - diq - dsb - dv - dz - ee - el - eml - eo - es - et - eu - ext - fa - ff - fi - fiu_vro - fj - fo - fr - frp - fur - fy - ga - gan - gd - gl - glk - gn - got - gu - gv - ha - hak - haw - he - hi - hif - ho - hr - hsb - ht - hu - hy - hz - ia - id - ie - ig - ii - ik - ilo - io - is - it - iu - ja - jbo - jv - ka - kaa - kab - kg - ki - kj - kk - kl - km - kn - ko - kr - ks - ksh - ku - kv - kw - ky - la - lad - lb - lbe - lg - li - lij - lmo - ln - lo - lt - lv - map_bms - mdf - mg - mh - mi - mk - ml - mn - mo - mr - mt - mus - my - myv - mzn - na - nah - nap - nds - nds_nl - ne - new - ng - nl - nn - no - nov - nrm - nv - ny - oc - om - or - os - pa - pag - pam - pap - pdc - pi - pih - pl - pms - ps - pt - qu - quality - rm - rmy - rn - ro - roa_rup - roa_tara - ru - rw - sa - sah - sc - scn - sco - sd - se - sg - sh - si - simple - sk - sl - sm - sn - so - sr - srn - ss - st - stq - su - sv - sw - szl - ta - te - tet - tg - th - ti - tk - tl - tlh - tn - to - tpi - tr - ts - tt - tum - tw - ty - udm - ug - uk - ur - uz - ve - vec - vi - vls - vo - wa - war - wo - wuu - xal - xh - yi - yo - za - zea - zh - zh_classical - zh_min_nan - zh_yue - zu

span style="font-weight: bold;">Our
"Network":



Project Gutenberg

href="https://gutenberg.classicistranieri.com">https://gutenberg.classicistranieri.com



Encyclopaedia Britannica 1911

href="https://encyclopaediabritannica.classicistranieri.com">https://encyclopaediabritannica.classicistranieri.com



Librivox Audiobooks

href="https://librivox.classicistranieri.com">https://librivox.classicistranieri.com



Linux Distributions

https://old.classicistranieri.com



Magnatune (MP3 Music)

href="https://magnatune.classicistranieri.com">https://magnatune.classicistranieri.com



Static Wikipedia (June 2008)

href="https://wikipedia.classicistranieri.com">https://wikipedia.classicistranieri.com



Static Wikipedia (March 2008)

href="https://wikipedia2007.classicistranieri.com/mar2008/">https://wikipedia2007.classicistranieri.com/mar2008/



Static Wikipedia (2007)

href="https://wikipedia2007.classicistranieri.com">https://wikipedia2007.classicistranieri.com



Static Wikipedia (2006)

href="https://wikipedia2006.classicistranieri.com">https://wikipedia2006.classicistranieri.com



Liber Liber

href="https://liberliber.classicistranieri.com">https://liberliber.classicistranieri.com



ZIM Files for Kiwix

https://zim.classicistranieri.com





Other Websites:



Bach - Goldberg Variations

https://www.goldbergvariations.org



Lazarillo de Tormes

https://www.lazarillodetormes.org



Madame Bovary

https://www.madamebovary.org



Il Fu Mattia Pascal

https://www.mattiapascal.it



The Voice in the Desert

https://www.thevoiceinthedesert.org



Confessione d'un amore fascista

https://www.amorefascista.it



Malinverno

https://www.malinverno.org



Debito formativo

https://www.debitoformativo.it



Adina Spire

https://www.adinaspire.com




atOptions = { 'key' : 'e601ada261982ce717a58b61cd5b0eaa', 'format' : 'iframe', 'height' : 60, 'width' : 468, 'params' : {} };

Our "Network":

Project Gutenberg
https://gutenberg.classicistranieri.com

Encyclopaedia Britannica 1911
https://encyclopaediabritannica.classicistranieri.com

Librivox Audiobooks
https://librivox.classicistranieri.com

Linux Distributions
https://old.classicistranieri.com

Magnatune (MP3 Music)
https://magnatune.classicistranieri.com

Static Wikipedia (June 2008)
https://wikipedia.classicistranieri.com

Static Wikipedia (March 2008)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com/mar2008/

Static Wikipedia (2007)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com

Static Wikipedia (2006)
https://wikipedia2006.classicistranieri.com

Liber Liber
https://liberliber.classicistranieri.com

ZIM Files for Kiwix
https://zim.classicistranieri.com


Other Websites:

Bach - Goldberg Variations
https://www.goldbergvariations.org

Lazarillo de Tormes
https://www.lazarillodetormes.org

Madame Bovary
https://www.madamebovary.org

Il Fu Mattia Pascal
https://www.mattiapascal.it

The Voice in the Desert
https://www.thevoiceinthedesert.org

Confessione d'un amore fascista
https://www.amorefascista.it

Malinverno
https://www.malinverno.org

Debito formativo
https://www.debitoformativo.it

Adina Spire
https://www.adinaspire.com