Falme za Kiarabu
Kutoka Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: none | |||||
Wimbo wa taifa: Ishy Bilady | |||||
Mji mkuu | Abu Dhabi |
||||
Mji mkubwa nchini | Dubai | ||||
Lugha rasmi | Kiarabu | ||||
Serikali
Amiri Rais
Waziri Mkuu |
Shirikisho, Ufalme Khalifa bin Zayed Al Nahayan M. bin Rashid Al Maktoum |
||||
Kuundwa kwa shirikisho |
2 Desemba 1971 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
83,600 km² (ya 116) -- |
||||
Idadi ya watu - 2005 kadirio - 2005 sensa - Msongamano wa watu |
4,496,000 (ya 116) 4,104,695 [1] 54/km² (ya 143) |
||||
Fedha | Dirham (AED ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
GMT (UTC+4) +4 (UTC) |
||||
Intaneti TLD | .ae | ||||
Kodi ya simu | +971 |
Falme za Kiarabu (Kiar.: الإمارات العربيّة المتّحدة) ni shirikisho la falme ndogo katika kaskazini-mashariki ya Rasi ya Uarabuni kwenye mwambao wa ghuba ya Uajemi. Mji mkuu ni Abu Dhabi na mji mkubwa ni Dubai.
Shirikisho limepakana na Saudia na Omani kwenye nchi kavu; baharini kuna mipaka pia na Katar. Falme zilikuwa nchi lindwa chini ya Uingereza hadi 1971.
Falme za Kiarabu zimekuwa nchi tajiri kutokana na akiba kubwa za mafuta ya petroli.
Falme za shirikisho hili ni:
Jina | Eneo (km²) | Wakazi mwisho wa 2006 |
---|---|---|
Abu Dhabi | 67.340 | 2.563.212 |
Umm al-Quwain | 777 | 68.000 |
Fujairah | 1.165 | 130.000 |
Ras al-Khaimah | 1.684 | 214.000 |
Sharjah | 2.590 | 699.000 |
Dubai | 3.885 | 1.327.000 |
Ajmān | 259 | 258.000 |
Nchi na maeneo ya Asia |
Afghanistan | Armenia2 | Azerbaijan | Bahrain | Bangladesh | Bhutan | Brunei | China | Cyprus2 | Falme za Kiarabu | Georgia2 | Hong Kong3 | Indonesia | Iran | Iraq | Israel | Japan | Kambodia | Kazakhstan | Korea Kaskazini | Korea Kusini | Kuwait | Kirgizstan | Laos | Lebanon | Macau3 | Malaysia | Maldivi | Mongolia | Myanmar | Nepal | Oman | Pakistan | Palestina | Qatar | Urusi1 | Saudia | Singapore | Sri Lanka | Syria | Taiwan (Jamhuri ya China) | Tajikistan | Timor ya Mashariki | Ufilipino | Uthai | Uturuki1 | Turkmenistan | Uhindi | Uzbekistan | Vietnam | Yemen | Yordani |
1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi hii iko Asia lakini kwa sababu za kihistoria au kiutamaduni inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya. 3. Eneo la pekee la China. |