Uhindu
Kutoka Wikipedia
Uhindu (Kisanskrit: हिन्दू धर्म: Hindū Dharma pia सनातन धर्म Sanātana Dharma) ni kati ya dini kubwa duniani yenye asili katika Bara Hindi.
Ikiwa na wafuasi milioni 900 ni dini kubwa ya tatu baada ya Ukristo na Uislamu.
[hariri] Nchi penye Wahindu
Katika nchi za India, Morisi na Nepal na kwenye kisiwa cha Bali (Indonesia) wakazi wengi hufuata aina ya Uhindu. Vikundi vikubwa wako pia:
- Bangladesh (11 millioni),
- Myanmar (7.1 millioni),
- Sri Lanka (2.5 millioni),
- Marekani (2.0 millioni)
- Pakistan (3.3 millioni),
- Afrika Kusini (1.2 millioni),
- Uingereza (1.2 millioni),
- Malaysia (1.1 millioni),
- Kanada (0.7 millioni),
- Fiji (0.5 millioni),
- Trinidad na Tobago (0.5 millioni),
- Guyana (0.4 millioni),
- Uholanzi (0.4 millioni),
- Singapur (0.3 millioni)
- Surinam (0.2 millioni).
[hariri] Marejeo na viungo vya Nje
- Rigveda. Britannica Concise Encyclopedia
- "Hinduism" on Microsoft Encarta Online
- Wiki based encyclopedia about Hindusim
- http://www.hinduism-today.com
Makala hiyo kuhusu "Uhindu" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Uhindu kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |