Lebanoni
Kutoka Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: Kūllūnā li-l-waṭan (Kiarabu) "Sisi sote kwa ajili ya taifa" |
|||||
Wimbo wa taifa: Kulluna lil-watan | |||||
Mji mkuu | Beirut |
||||
Mji mkubwa nchini | Beirut | ||||
Lugha rasmi | Kiarabu(na zamani Kifaransa) | ||||
Serikali
Rais
Waziri mkuu |
Jamhuri Émile Lahoud Fouad Siniora |
||||
Uhuru Ilitangazwa Ilitambuliwa |
26 Novemba 1941 22 Novemba 1943 |
||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
10,452 km² (ya 166) 1.6 |
||||
Idadi ya watu - 2006 kadirio - Msongamano wa watu |
3,874,050 (ya 113) 358/km² (ya 26) |
||||
Fedha | Lira ya Lebanon (LL) (LBP ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
EET (UTC+2) EEST (UTC+3) |
||||
Intaneti TLD | .lb | ||||
Kodi ya simu | +961 |
Lebanoni (Kiarabu: لبنان ) ni nchi ndogo ya Mashariki ya Kati katika Asia ya Magharibi kando la Bahari ya Mediteranea. Imepakana na Syria na Israel.
Kati ya nchi za Waarabu Lebanoni ni nchi ya pekee yenye wakazi wengi ambao ni wakristo.
[hariri] Jiografia na wakazi
Kuna kanda nne za kijiografia:
- Kiini cha nchi ni safu ya milima ya Lebanoni inayopanda hadi kimo cha 3000 m na kuelekea sambamba na pwani la Mediteranea.
- Kuna kanda nyembamba la pwani kati ya milima na bahari.
- Upande wa mashariki ya milima kuna tambarare ya Beka'a inayofaa kwa kilimo
- Safu ya milima ya Lebanoni ndogo mpakani wa Syria
Mto mrefu ni Litani yenye mwendo wa 140 km inayoishia baharini karibu na mji Tyros (Sur).
Miji mikubwa ni (kadirio ya idadi ya wakazi kwa mabano):
- Beirut (mji mkuu - 2.100.000)
- Tripoli (500.000)
- Zahlé (200.000)
- Sidon (100.000)
- Tyros (70.000)
Zaidi ya nusu ya wakazi wa nchi hukaa katika rundiko la jiji la Beirut. Inasemekana ya kwamba zaidi ya nusu ya Walibanoni wote wamehamia nje ya nchi.
Makala hiyo kuhusu "Lebanoni" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Lebanoni kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |
Nchi na maeneo ya Asia |
Afghanistan | Armenia2 | Azerbaijan | Bahrain | Bangladesh | Bhutan | Brunei | China | Cyprus2 | Falme za Kiarabu | Georgia2 | Hong Kong3 | Indonesia | Iran | Iraq | Israel | Japan | Kambodia | Kazakhstan | Korea Kaskazini | Korea Kusini | Kuwait | Kirgizstan | Laos | Lebanon | Macau3 | Malaysia | Maldivi | Mongolia | Myanmar | Nepal | Oman | Pakistan | Palestina | Qatar | Urusi1 | Saudia | Singapore | Sri Lanka | Syria | Taiwan (Jamhuri ya China) | Tajikistan | Timor ya Mashariki | Ufilipino | Uthai | Uturuki1 | Turkmenistan | Uhindi | Uzbekistan | Vietnam | Yemen | Yordani |
1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi hii iko Asia lakini kwa sababu za kihistoria au kiutamaduni inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya. 3. Eneo la pekee la China. |